Tovuti Kuu ya Serikali: Welcome - Tanzania
Tovuti Kuu ya Serikali Imesanifiwa, imetengenezwa na inahifadhiwa na Mamlaka ya Serikali Mtandao.Taarifa zinasimamiwa na Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.Lengo kuu la Tovuti Kuu hii ni kuwezesha upatikanaji wahuduma za umma kwa uwazi, urahisi na gharama nafuu kutoka Taasisi mbalimbali za umma kwa manufaa ya wananchi, wafanyabiashara, watumishi na wadau …